JUSTIN BIEBER KUBURUZWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KURUSHA MAYAI KWENYE NYUMBA YA JIRANI YAKE.


Salim Kikeke's photo.
Msanii wa miondoko ya pop kutoka Canada, Justin 
Bieber atashtakiwa kwa kosa la uharibufu wa mali baada ya kurusha mayai kwenye nyumba ya jirani yake, wamesema waendesha mashtaka.
Msemaji wa mwimbaji huyo amesema Bieber hatokuwepo mahakamani wakati kesi hiyo itakapotajwa siku ya Jumatano.
Bieber, 20, anakabiliwa na kesi mbili za uhalifu mjini Florida na Toronto.
Wapelelezi walipekua nyumba ya Bieber mwezi Januari kutafuta ushahidi baada ya mayai yaliyorushwa kusababisha uharibifu mkubwa.
Mmoja wa marafiki wa Bieber alikamatwa akiwa na dawa za kulevya katika upekuzi huo.

Mwimbaji huyo angeweza kukabiliwa na mashtaka makubwa zaidi iwapo hasara iliyosababishwa ingezidi dola 20,000.
 kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA

Related

MATUKIO 3558522749932081168

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item