JUX ATOA NGUO ZENYE JINA NA MUONEKANO WAKE...IONE HAPA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/jux-atoa-nguo-zenye-jina-na-muonekano.html

Jux atoa Nguo zenye jina na muonekano wake, kupitia Account yake ya Instagram Juma Jux alipost picha akiwa amevaa Vest yenye muonekano wake. Ni moja kati ya njia ya kuzidi kujitangaza, Pia zitaweza kumuingizia pesa kwa mauzo ya nguo hiyo.
So Watanzania tupende vya kwetu
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA