AJALI YAUA MMOJA NA KUJERUHI WATANO MOROGORO

Wananchi wakiwa wamejazana huku wakiliangalia lori aina ya fuso lililowagonga wafanyakazi sita wa kiwanda cha Mazava na mmoja kufariki dunia papo hapo kwa kuangukiwa na lori hilo baada ya kupinduka wakati dereva wake akijaribu kumkwepa mwendesha pikipiki katika barabara kuu ya Iringa-Morogoro eneo la Bene Msamvu mkoani Morogoro
Mkono ukiwa unanekana huku mwili ukiwa umekandamizwa na kichwa cha lori hilo kabla ya mwili kutolewa katika eneo la tukio.
Hapa mwili ukiwa bado haujatolewa.
Baada ya magari yenye kunyanyua vitu vizito kunyanyua na wananchi kupata nafasi ya kuutoa mwili uliokuwa umekandamizwa na lori hilo.
Picha zaidibofya hapa

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MATUKIO 170394116439667159

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item