MAMA NA MWANAE WANUSURIKA KWENYE AJALI YA NDEGE YA MALAYSIA BAADA YA KUCHELEWA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/mama-na-mwanae-wanusurika-kwenye-ajali.html
Kwenye
picha ni mwanamke wa Malaysia pamoja na mwanae aliyekua asafiri na
ndege ya Malaysia iliyopata ajali akishindwa kujizuia kwa kutokwa na
machozi baada ya kusikia ndege aliyokua asafiri nayo kudunguliwa na
kombora kwenye mpaka wa Urusi na Ukraine.
Sababu ya mwanamuke huyo kutokuwemo kwenye ndege hiyo ni kwa sababu ya
kuchelewa na kukuta ndege ishaondoka na baadae alisema hii ni mwenyezi
Mungu amenipa nafasi nyingine ya kuendelea kuishi.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
