KIJANA AGONGWA NA PIKIPIKI MOROGORO {PICHA}
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/kijana-agongwa-na-pikipiki-morogoro.html
Kijana aliyetambuliwa
kwa jina Moja la Ally jana majira ya saa 2 Usiku aligongwa na pikipiki
alipokuwa akivuka barabara kuu ya Morogoro-lringa eneo la Mriti.Ally akiwa katikati ya barabara ya Morogro-lringa baada ya Kutokea ajali kugongwa na pikipiki
Askari wa kikosi cha Usalama barabara wakiwasili eneo la tukio Tayari kutoa msaada.
Habari
zilizopatikana eneo la tukio zinadai baada ya dereva huyo wa pikipiki
kumgonga alikimbia na kumuacha majeruhi huyo akigaaga kwenye barabara
hiyo ambapo baadhi ya wananchi walifika eneo la tukio na kumsogeza
pembeni asiendele kugongwa na magari mengine
Ally akiangua kilio baada ya kupatwa na maumivu makali
Akiingizwa kwenye gari kuelekea hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro
"
alikuwa akivuka barabra kureje nyumbani kwake Chamwino kwa bahati mbaya
kuna boda boda litoka upande wa Msamvu na kumgonga hata hivyo boda
boda hiyo baada ya kumgonga alikimbia Picha na Dustan
Shekidele,Morogoro
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA