MATUKIO:- GARI LATEKETEA KWA MOTO ARUSHA... TAZAMA PICHA HAPA

Gari likiteketea kwa moto jijini Arusha.
Gari hilo likiwa karibu na kituo cha mafuta cha Mount Meru.
Gari la zimamoto lililofika kuuzima moto huo.
Raia wakishuhudia janga hilo.
LORI aina ya Fuso limeteketea kwa moto eneo la Shamsi jijini Arusha jana jioni. Chanzo cha kuteketea kwa lori hilo hakikujulikana mara moja.zitawaijia tuakapo zipata.

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MATUKIO 8585840175046885732

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item