NEW AUDIO < PROFESA J : 3 CHAFU
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/new-audio-profesa-j-3-chafu.html


Ukiwa
msikilizaji sana wa muziki wa Hiphop ukiusikia wimbo huu wa Profesa Jay
kuna vitu utagundua ni kama ile michano ya kipindi cha nyuma iliyokuwa
inafanywa na makundi kadhaa likiwemo la Hard Blasters Crew Hbc ambalo
nae alikuwepo.
Wimbo wake mpya unaitwa 3 CHAFU.Humu
kajishirikisha mwenyewe yaani wimbo wa Profesa Jay na wameshirikishwa
Nigga Jay na Jay Hussle,upande wa jina la Nigga Jay ni jina alilokuwa
akitumia zamani Profesa Jay kabla ya kubadilisha jina.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA