TID MNYAMA WAPANGAWISHA MASHABIKI WAKE DAR LIVE IDD PILI
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/tid-mnyama-wapangawisha-mashabiki-wake.html
Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Khalid Mohammed ‘TID Mnyama’ akizikonga nyoyo za mashabiki wa Dar Live katika Usiku wa Mnyama na Wanyama.
TID akitunzwa Cheni na shabiki wake.
TID akifanya manjonjo yake mbele ya Naaziz.
Nyomi ikifuatilia burudani za Idd Pili ndani ya Dar Live.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA