Patrice Evra amekamilisha uhamisho wake kutoka
Manchester United kwenda Juventus. Beki huyo wa kushoto kutoka Ufaransa
amekaa Old Trafford tangu mwaka 2006. Manchester United ime tweet
ikisema: Patrice Evra ameondoka #mufc kujiunga na Juventus. Kila mmoja katika klabu hii anamshukuru kwa miaka yake mingi ya huduma bora aliyotoa."
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA