TAZAMA PICHA WANAWAKE WACHAPANA MAKONDE LIVE SOKONI HUKO TABORA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI...!!!!
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/tazama-picha-wanawake-wachapana-makonde.html
Wanawake
watatu katika soko la mkulima Tabora mjini wamejikuta wakipeana kipigo
kikali mchana kweupe wakati walipokuwa wakifanya biashara za mboga mboga
hatua ambayo ilisababisha kuharibu sehemu ya bidhaa wanazouza.
![]() |
Chanzo
cha ugomvi huo kimetokana na mmoja wa wanawake hao kuwa mbabe kwa
wenzake na hivyo kushindwa kumvumilia kutokana na vituko vyake![]() |
muda mfupi baadaye waliamuliwa ugomvi huo na askari polisi Fakih Abdul aliyekuwa akipita sokoni hapo.
picha zote kwa hisani ya Kapipij blog
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA