PENNY AFUNGUKA KUHUSU WANAOSTAJABU YEYEI KUFUNGA RAMADHAN....!FUATILIA ZAIDI HAPA...
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/penny-afunguka-kuhusu-wanaostajabu.html
Mtangazaji wa Redio EFM,Penniel Mungilwa ‘Penny’a
MMTANGAZAJI wa Redio EFM aliyewahi kuanguka
kimahaba na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Penniel
Mungilwa ‘Penny’ amewafungukia wanaomshangaa kuhusu kufunga mwezi wa
Ramadhani na kuwataka watu hao wasimshangae kuhusiana na jambo hilo.
Akifafanua ishu hiyo mbele ya mwandishi wetu, staa huyo alisema kuwa
amezaliwa katika familia yenye dini mbili japokuwa yeye ni Mkristo,
lakini hufunga Ramadhani na Kwaresma sambamba na kusheherekea sikukuu
zote kwa kuwa familia yao huamini Mungu ni mmoja.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu. LIKE HAPA