SOKA:- BAADA YA KOMBE LA DUNIA DUNGA ATEULIWA KUWA KOCHA MPYA WA BRAZIL

Brazil imemtangaza mchezaji wa zamani Dunga kuwa kocha wa timu ya taifa, kwa mara ya pili. Dunga alikuwa nahodha wa Brazil mwaka 1994 waliposhinda Kombe la Dunia, na alikuwa kocha kuanzia mwaka 2006 hadi 2011.

"Nimefurahi sana kurudi," amesema Dunga, 50, ambaye alikuwa akitajwa sana kuchukua nafasi hiyo. Dunga anachukua nafasi ya Luiz Filipe Scolari,
aliyejiuzulu baada ya Brazil kufika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, lakini alipata kipigo kizito katika historia ya taifa hilo kwa kufungwa 7-1 na Ujerumani. Dunga aliifikisha Brazil katika robo fainali Afrika Kusini mwaka 2010.


kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MICHEZO 8381576832993015589

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item