SAMAHANI KWA PICHA HIZI...NJEMBA APIGWA SHOKA LA KICHWA BAADA YA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU Matukio
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/samahani-kwa-picha-hizinjemba-apigwa.html
Mkazi
wa kirumba akiwa hospitalini akiwa amejeruhiwa na shoka baada ya
kufumaniwa na mke watu usiku wa juzi. Alipigwa shoka la kichwa na
kuingia kabisa kama unavyoona kwenye picha hizi tatu.
Amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini mwanza akiendelea vizuri.
Amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Bugando jijini mwanza akiendelea vizuri.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA