UMEMISS KAZI ZA ALI KIBA?...BASI HII INAKUHUSU MTU WANGU
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/umemiss-kazi-za-ali-kibabasi-hii.html

Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 4 kuanzia leo tarehe 21/7.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA