UKISTAAJABU YA MUSA UTAYAONA YA FIRAUNI....!!!! MREMBO AKUTWA KWENYE KABATI LA CHIPSI AKIWA AMELALA FOFOFO JUU YA CHIPS NA MISHIKAKI
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/ukistaajabu-ya-musa-utayaona-ya-firauni.html
![]() | |||
Hili tukio waweza fikiri
ni uongo,hii ni kweli kabisa mrembo mmoja amekutwa amelala kwenye kabati la
chips maeneo ya Yombo Vituka jijini Dar es salaam leo asubuhi.
Imeelezwa kuwa jana
usiku Muuza chips alipofunga kabati na
kufunga eneo lake la biashara kwa kufuli kisha akaenda kulala.
Hata hivyo bado haijajulikana aliingiaje kwenye kabati hilo la chips maana hakuweza kuongea baada ya kutolewa katika kabati hilo.kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.BOFYA HAPA |