WATU 29 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI NCHINI KENYA


Mashambulizi katika eneo la Mpeketoni kenya


Wizara ya maswala ya ndani nchini Kenya inasema kuwa takriban watu thelathini wameuawa katika mashambulizi mawili tofauti katika makaazi ya pwani ya kenya karibu na mpaka wa Somali.
Watu 20 waliuawa katika eneo la Gamba kaunti ya Tanariver huku tisa wengine wakiuawa kufuatia ufyatulianaji wa risasi katika kituo kimoja cha kibiashara kaunty ya lamu karibu na mpaka wa Somali.
Inadaiwa kuwa watu walikuwa wakitizama mechi za kombe la dunia wakati wa tukio hilo.
Shambulizi la pili lilitekelezwa karibu na eneo la Mpeketoni ambapo zaidi ya watu sitini waliuawa katika shambulizi jengine mwezi uliopita.
Kundi la wapiganaji wa Al shabaab limekiri kutekeleza mashambulizi hayo.

>>>BBC 
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huuBOFYA HAPA

Related

KIMATAIFA 3396192350308206865

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item