Yemi Alade kutua Bongo kumtafuta Johnny

 Mwanamuziki kutoka Nigeria Yemi Alade anatarijiwa kutua Tanzania Tarehe 8 mwezi Agosti mwaka huu.
Msanii huyo ambae ametamba sana na ngoma yake ya "Johnny" ambapo ameamua kuvuka boda zote mpaka Bongo kuja kumtafuta Johnny kwenye "Tamasha la Matumaini".
Kwa sasa mwanadada huyo ametoa ngoma yake mpya inayoitwa "Tangerine"
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapowekwa kwenye mtandao huu.LIKE HAPA                       

Related

BURUDANI 2284630663005600789

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item