OMMY DIMPOZ AMJIBU VICTORIA KIMANI JUU YA SHUTUMA ZA KUTOSHIRIKI KWENYE VIDEO YAKE YA PROKOTO
http://melckstudio.blogspot.com/2014/07/ommy-dimpoz-amjibu-victoria-kimani-juu.html
Siku
chache zilizopita alisikika Victoria Kimani akilalamika Ommy Dimpoz
kukataa kushiriki kwenye video ya wimbo wake wa Prokoto huku akisema
Ommy Dimpoz alimpa sababu nyingi ikiwa ni pamoja na kumkataa Director wa
Kenya.
Kupitia
You heard ya July 15 Ommy Dimpoz ameongea na Soudy Brown juu ya
malalamiko hayo amabayo yalitolewa na Victoria Kimani na kusema kuwa
sababu haikua hiyo ila wao walichelewa kumpa taarifa ya kufanya video
hiyo.