AJALI YA MABASI MAWAILI YALIYOGONGANA USO KWA USO MKOANI TABORA

 Hali ni tete sana eneo la Mkolye, takribani km 4 toka Mjini Sikonge baada ya basi la Sabena lililokuwa linatoka Mbeya kwenda Mwanza na basi la A.M. toka Tabora kwenda Katavi kugongana uso kwa uso. Dreva wote wa mabasi hayo wamefariki hapo hapo, mmoja akiwa amekatika kichwa. 
 Abiria kadhaa wakiwa wamenasa katika mabasi hayo, baadhi wakiwa wamekatika mikono na miguu. Abiria wapatao watano wamefariki hapo, na majeruhi zaidi ya 30 wamepelekwa katika Hospitali ya Mission ya wilayani Sikonge.
Update
hadi sasa mganga mkuu wa hospital ya mkoa wa tabora amedhibitisha kuwa waliofariki ni watu 16 tu, na majeruhi 70.

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MATUKIO 7804950449949700477

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item