AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA MABASI YA SABENA NA A.M. DREAMLINE KUGONGANA USO KWA USO

Hali ni tete sana eneo la Mkolye, takribani km 4 toka Mjini Sikonge baada ya basi la Sabena toka Mbeya kwenda Mwanza na basi la A.M. toka Tabora kwenda Katavi kugongana uso kwa uso (head on collision).

Dreva wote wa mabasi hayo wamefariki hapo hapo, mmoja akiwa amekatika kichwa!

Nimeshuhudia abiria kadhaa wakiwa wamenasa ktk mabasi hayo, baadhi wakiwa wamekatika mikono na miguu!


Nitaweka picha muda si mrefu, lakini ni hatari saaaana ndugu zangu!


Abiria wapatao watano wamefariki hapo, na majeruhi zaidi ya 30 wamepelekwa ktk Hospitali ya Mission ya wilayani Sikonge.
Update
hadi sasa mganga mkuu wa hospital ya mkoa wa tabora amedhibitisha kuwa waliofariki ni watu 16 tu, na majeruhi 70.
Picha JF
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.  LIKE HAPA

Related

MATUKIO 7703381554662779825

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item