ANGALIA PICHA ALIYOPOST DIAMOND IKIWA TUZO ZOTE ALIZOWAHI KUCHUKUA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/angalia-picha-aliyopost-diamond-ikiwa.html
Kama kweli una macho mazuri heb niambie hizo ziko ngapi....?
dah! ila bado naikumbuka tunzo yangu moja iloibiwaga zamani...watu bwana, eti
naskia
waliambiwa na mganga ili mimi nishuke waniibie tunzo yangu moja halaf
waipeleke kwake......[if you really gat Strong eyes please tell me How many
trophies
are there...? ]
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA