ANGALIA PICHA PICHA HIKI NDICHO WALICHOKIFANYA KAHAMA, USIKU WA AUG 17 KWENYE SERENGETI FIESTA 2014.
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/angalia-picha-picha-hiki-ndicho.html
Mapokezi
waliyoyafanya Kahama kwenye Serengeti Fiesta ni makubwa mno ambayo
yanaingia kwenye record sawa na Bukoba ambao nao kwa nafasi waliyoipata
kama Kahama walifanya mapokezi makubwa.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
Kwa
show hizi 3 za mwanzo ambayo ni Mwanza,Bukoba na Kahama bado
zinawachanganya mashuhuda ambao wameshuhudia hizi show kutafuta sehemu
gani zaidi ilikuwa na wahudhuriaji wengi kwani mpaka sasa bado
hawajapata jibu.
Kahama wamekuwa na utulivu watu wa nguvu wakati tuna enjoy pamoja msimu huu wa mafanikio wa Serengeti Fiesta 2014.
![261fst](http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/08/261fst1.jpg?resize=475%2C315)