TRAFIKI AGONGWA NA GARI ENEO LA BAMAGA!! na KUJERUHIWA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/trafiki-agongwa-na-gari-eneo-la-bamaga.html
Askari
mmoja wa kikosi cha usalama barabara ambaye jina lake halikuweza
kufahamika mara moja, amenusurika kufa baada ya kupata ajali akiwa
anaendesha pikipiki ya polisi,ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.
anaendesha pikipiki ya polisi,ambayo ilikosa mwelekeo na kugongana uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T 681 CUX eneo la Bamaga Mikocheni jijini Dar es salaam.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA