NEWS ALERT: JAJI LEWIS MAKAME AFARIKI DUNIA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/news-alert-jaji-lewis-makame-afariki.html
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgEGHamiFlfReD4RfBSuOl747Ef0HtwPYhm08D5BfqgqOJSPUz65wGJElEf4YHXo6nSGQkorpHCrP8GS1FL1wxz-N6XrxU62dm1B5diwkYhQv2t-9Ap4PCSY0j_XtquHTeU8njX0XM62Xz/s640/jaji.jpg)
Jaji Lewis Makame amefariki muda mchache uliopita katika Hospitali ya Trauma Centre Masaki, Alikokuwa amelazwa kwa matibabu kabla ya umauti kumfika mchana wa leo, aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi,
Mungu ailaze roho yake mahali pema ameen.kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA