ANGALIA PICHA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA NICKI MINAJ ‘ANACONDA’

0
Rapa bora wa kike, Onika Tanya Maraj 'Nicki Minaj' akiwa katika pozi tata na Aubrey Drake Graham 'Drake' wakiwa katika utengenezaji wa video ya wimbo wake ‘Anaconda’.

Nicki Minaj anaendelea kuvuta umakini wa watu kuisubiria kwa hamu video ya wimbo wake ‘Anaconda’ ikiwa ni siku kadhaa baada ya kutoa kipande cha video kinachoonesha utengenezaji wake.

Jana August 18, 2014 Nicki ameshare picha nyingine za video hiyo inayomuonesha yeye akiwa amekaa katika mtindo wa mitego tata mbele ya Drake aliyekaa kwenye kiti.
Anaconda ni wimbo mpya unaotoka kwenye albam ya ‘The Pink Print’ na rapper huyo wa Young Money anatarajiwa kuuimba 

kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

BURUDANI 1337062807113063234

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item