BODABODA YAMVUNJA MGUU KIJANA MANISPAA YA MUSOMA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/bodaboda-yamvunja-mguu-kijana-manispaa.html



AJALI
hii imetokea jana majira ya saa 9:45 mchana katika Manispaa ya Musoma
mkoani Mara baada ya bodaboda kumgonga kijana mmoja ambaye
hakujatambulika jina lake mara moja na dereva wa bodaboda kukimbia na
kuacha chombo chake .
Picha kwa hisani ya global whatsapp
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA