MBUNGE MWINGINE KUTOKA UKAWA ARUDI BUNGENI KUENDELEA NA MCHAKATO WA KATIBA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mbunge-mwingine-kutoka-ukawa-arudi.html
![]() |
Mbunge
wa Bunge Maalum la Chiku Abwao akizungumza na waandishi wa habari
kukanusha habari za kujisajili katika orodha ya wajumbe wanaoshiriki
vikao vya kujadili rasimu ya Katiba mjini Dodoma katika bunge
maalumlinaloendelea hivi sasa na viako vyake na kudai taarifa hizo si za
kweli leo katika ukumbi wa habari za bunge mjini dodoma
![]()
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA
|