JESHI LA NIGERIA LIMETENDA UHALIFU


Jeshi la Nigeria limedaiwa kutenda uhalifu wa kivita
Shirika la Amnesty International linasema kuwa limepata ushahidi wa uhalifu wa kivita Kaskazini mashariki mwa Nigeria, ambapo wanajeshi wanakabiliana na kundi la wapiganaji wa kiislamu- Boko Haram.
Pande zote mbili zinalaumiwa kwa makosa hayo.
Katika video moja ya kuogofya, watu waliodaiwa kuwa wanajeshi wa Nigeria na wapiganaji wanaoungwa mkono na serikali, waliwachinja kinyama wafungwa waliokuwa wamewazuilia.
Serikali ya Nigeria inasema kuwa unyama huo hauna nafasi katika jeshi huku ikiahidi kufanya uchunguzi.
Boko Haram pia linalaumiwa kwa kufanya unyama mkubwa dhidi ya binadamu.
Amnesty inalaumu tume huru ya uchunguzi katika kile inachokiita misururu ya ukiukaji wa haki za kibinadamu kutoka kwa pande zote mbili

Related

KIMATAIFA 7141558119736444086

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item