Mh ISMAIL ADEN RAGE AKIWA HOSPITALI BAADA YA KUPATA AJALI YA GARI
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mh-ismail-aden-rage-akiwa-hospitali.html
Mbunge
wa Tabora Mjini (CCM) Ismail Aden Rage, ambaye pia ni mjumbe wa Bunge
Maalum la Katiba, akiwa amelazwa kwenye hospitali ya Rufaa, Dodoma,
Jumatatu Agosti 4, 2014. Rage alipata ajali eneo la Chigongwe, nje
kidogo ya Manispaa ya Dodoma, wakati akielekea mjini humo tayari
kushiriki vikao vya Bunge Maalum vinavyoanza Jumanne Agosti 5, 2014Mbunge wa Sikonge mkoani Tabora kupitia CCM, ambaye pia ni Mujumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Said Nkumba, akimjulia hali Rage, hospitalini mjini Dodoma, Jumatatu Agosti 4, 2014.Picha kwa hisani ya K-vis Blog.
