KAJALA AFUMWA NA MWANAUME CHINA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/kajala-afumwa-na-mwanaume-china.html
Kajala Masanja ‘K’ anadaiwa kufumwa na mwanaume nchini China huku akisusiwa sherehe ya bethidei yake, Ijumaa Wikienda limeinyaka
Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘K’.

Kwa mujibu wa kachero wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) aliyepiga kambi Hong Kong, China, mwishoni mwa wiki iliyopita Kajala alionekana na mwanaume huyo aliyetajwa kwa jina moja la Meddy kwenye pati hiyo ambayo eti inasemekana ilihudhuriwa na watu watatu.