KIBAKA ALIYETOROKA KITUO CHA POLISI TABATA, DAR AKAMATWA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/kibaka-aliyetoroka-kituo-cha-polisi.html
Mwizi aliyetoroka kituo cha akiwa chini ya ulinzi wa raia wenye hasira kali maeneo ya vingunguti msimbazi.
Na waandishin wetu
Kibaka
aliyetoroka kituo cha polisi Tabata hatimaye kukukamatwa majira ya saa
tano asubuhi maeneo ya msimbazi vingunguti na kurudishwa kituoni.
KIBONAJORO BLOG
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA