KIKONGWE WA MIAKA 90 AKUTWA AMEJINYONGA JUU YA MTI NA MJUKUU WAKE -SHINYANGA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/kikongwe-wa-miaka-90-akutwa-amejinyonga.html
Mwanamke
(kikongwe)anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 85 hadi 90 amekutwa
amejinyonga kwa kutumia kamba ya katani juu ya mti karibu na nyumba yake
katika mtaa wa Busalala kata ya Kizumbi tarafa ya Shinyanga mjini
katika manispaa ya Shinyanga.
Kwa mujibu wa kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga Longinus Tibishubwa amesema tukio hilo limetokea jana saa sita mchana.
Amesema
mwili wa marehemu uligunduliwa na mjukuu wa kikongwa huyo aitwaye Asia
Muhammed huku akiongeza kuwa chanzo cha tukio hilo bado kinachunguzwa.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA