KUNDI LA ORIGINAL KOMEDI LAVUNJIKA.....
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/kundi-la-original-komedi-lavunjika.html

Ilikua
ikifika mda wa kurushwa kipindi kila mtu alikua hangoki Katika TV yake.
Umaarufu wao uliongezeka zaid pale walipohama EATV na kuhamia TBC.
Umaarufu wao uliendelea kuwepo hadi siku zq karibuni ambapo ulishuka kwa kasi sana, taarifa ambazo Bongoclan tumezipata ni kua kwa sasa kundi hilo limevunjika na kila mtu anafanya kazi kivyake. Chanzo chetu kutoka kituo cha
TV
walichokua wakifanya kazi kiasema kua kwa sasa kila mtu ana hamsini zake na hawafanyi kazi tena pamoja
>>>>Chanzo blogu ya wananchi
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA