MAJAMBAZI YAMPIGA MTU RISASI JIJINI DAR
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/majambazi-yampiga-mtu-risasi-jijini-dar.html

Ilikuwa
ni katika jaribio la wizi ambapo majambazi hao walimpiga risasi ya
kifua mtu mmoja kabla ya kumpora katika maeneo ya kiwanda cha Serengeti
kilichopo Temeke jijini Dar es Salaam.Kabla ya kufanikiwa tukio hilo,
majambazi hao walikurupushwa na Polisi na kukamatwa wakiwa na Bastola
pamoja na risasi nne.
Baada ya kukamatwa majambazi hao wamepelekwa kituo cha Polisi Chang’ombe kilichopo temeke.

LIKE HAPA