LIVERPOOL WANASAA KIFAA KINGINE KUTOKA ATLETICO MADRID
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/liverpool-wanasaa-kifaa-kingine-kutoka.html
![](http://e1.365dm.com/14/08/16-9/20/javier-manquillo-atletico-madrid-football_3183420.jpg?20140806144348)
Javier Manquillo beki wa kulia mwenye umri wa miaka 20 amejiunga na liverpool kwa mkopo wa miaka 2 kuichezea timu hii akitokea atletico madrid mabingwa wa hispania 2013/2014, Liverpool wanaweza kumnunua kama akionyesha kiwango kizuri kwenye msimu wake huu wa kwanza kuitumikia timu yake mpya.
Manquillo alisema: "Nina furaha sana kuwa saini liveroop ni klabu kubwa sana.
"Nadhani ni kila mchezaji wa mpira anatamani kuja kucheza hapa kwababu ni klabu kubwa ya mpira...
"Baada ya kuambiwa na liverpool wanamtaka , nadhani kama mchezaji yoyote, yule duniani wawezi kuwa na kikwazo juu ya kuichezea liverpool.
"Lengo langu hapa ni kufanya kazi nzuri. Nimekuja hapa kujaribu na kupata ya kucheza na kama nikipata ningependa kuendelea kuichezea liverpool kwa kipindi kirefu.
Manquillo ameichezea Hispania chini ya miaka 20 beki wa kimataifa ambaye alianza kazi yake na timu ya vijana Real Madrid kabla ya kuhamia Atletico mwaka 2007.
Alicheza mechi zaidi ya tano msimu ulioisha na kuisaidia timu ya Atletico madrid kutwa taji la nchi hiyo.
Javier Manquillo anakuwa mchezaji wa saba kusainiwa na Liverpool kwa majira haya joto wakiwa ni Rickie Lambert, Emre Je, Adam Lallana, Lazar Markovic, Dejan Lovren na Divock Origi.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA