MTOTO WA MIAKA 4 ABAKWA NA JEMBA LA MIAKA 42 HUKO TANDALE UWANJA WA FISI, NA MTUHUMIWA AJIFANYA CHIZI NDANI YA MAHABUSU ILI POLISI WAMUACHIE

Huyu ni mtoto mwingine mwenye umri wa miaka 4 mkazi wa Tandale mtaa wa Muungano ambae siku ya Jumatatu wiki amebakwa na jemba lenye umri wa miaka 42. E-fm radio ambayo imekuwa karibu na jamii kwa 100% Jana jumatano ilikuwa na mahojiano ya moja kwa moja toka eneo la
tukio na hata hivyo kituo hicho cha radio kimelaani vikali matukio ya aina hiyo na kulishauri jeshi la polisi nchini kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote wanafanya ukatili huu kwa watoto.
CREDIT: 93.7 EFM RADIO


kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA

Related

MATUKIO 6562448631169564035

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item