LORI LA MAFUTA LAANGUKA KIMARA MWISHO NA KUZIBA NJIA.WANAINCHI WAGOMBANIA KUCHOTA MAFUTA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/lori-la-mafuta-laanguka-kimara-mwisho.html


Foleni iliyosababishwa na ajali hiyo eneo la Kimara, Dar.
Polisi wakidumisha ulinzi eneo la ajali.
LORI
lililokuwa na shehena ya mafuta lita 34,000 likitoka jijini Dar es
Salaam kuelekea mikoani Singida limeanguka asubuhi hii eneo la Kimara
Darajani, Dar na kusababisha foleni kubwa baada ya kuziba barabara huku
wananchi wakiamua kuchota mafuta kutoka kwenye lori hilo ambalo ni mali
ya Nassor Filling Station. Jeshi la Polisi liliamua kuingilia kati
kuwatawanya wananchi hao waliokuwa wakigombea kuchota mafuta eneo la
ajali.kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA