MAKAVU LIVE: MASHABIKI WA DIAMOND WAJA JUU, WAMSHUKIA AUNT KUMUHARIBU WEMA!JIONEE MWENYEWE HAPA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/makavu-live-mashabiki-wa-diamond-waja.html
Baada
ya mashabiki wa Wema kuamua kuanzisha kampeni maalum dhidi ya Diamond
wakimtaka amrudishe wema wao kwenye game walilomzoea #BringBackOurWema,
mashabiki wa Diamond nao waibuka na yao.
Katika
Instagram imefunguliwa akaunti maalum ya watu wanaojiita TeamDiamondTz
nao wameanzisha kampeni ya kumtetea Diamond huku wakimtaka Wema kuachana
na starehe zisizo na faida kama alivyosema Diamond.

Hii sasa ni vutanikuvute… Wema na Diamond wamewaachia mashabiki waendelee.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu. LIKE HAPA
