MASATAA WA FILAMU - ANGELINA JOLIE na BRAD PITT WAFUNGA NDOA KIMYAKIMYA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/masataa-wa-filamu-angelina-jolie-na.html
![Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga ndoa kimyakimya](http://www.timesfm.co.tz/content/uploads/2014/8/28/cache/Angelina%20Jolie_full.jpg)
Kwa mujibu wa Daily Mail,
waigizaji hao ambao walidumisha penzi lao baada ya kuigiza filamu ya
Mr. and Mrs. Smith walionekana katika uwanja wa ndege wa Nice, Ijumaa
iliyopita.
Walitangaza
rasmi uchumba April, 2013baada ya miaka nane katika uhusiano na
walieleza kuwa hatua hiyo ilikuwa hatua ya ahadi ya maisha ya baadae
‘Promise for the Future’.
Angelina Jolie na Brad Pitt
wanatarajia kuanza kushuti filamu yao mpya yenye story ya mahaba ‘By
The Sea’ na chanzo kimeeleza kuwa katika filamu hiyo wawili hao
wataonesha ukaribu sana wa kimapenzi.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA