MKURUGENZI WA AIRTEL TANZANIA AJIMWANGIA MAJI YA BARAFU KUJIUNGA NA KAMPENI ''FISTULA ICE BUCKET CHALLENGE''
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mkurugenzi-wa-airtel-tanzania.html
![Fistula Ice Bucket Challenge: Mkurugenzi wa Airtel Tanzania ajimwagia maji ya barafu kujiunga na kampeni (Video)](http://www.timesfm.co.tz/content/uploads/2014/8/28/cache/Fistula%20Airtel_full.jpg)
Airtel Tanzania wamepost picha
kwenye ukurasa wao wa Instagram na video katika channel yao ya YouTube
ikimuonesha mkurugenzi huyo akijimwagia ndoo ya maji kuashiria kukubali
challenge baada ya kutajwa na mkurugenzi wa Vodacom, Rene Meza
aliyemwagiwa ndoo ya maji Jumatatu.
Rene
Meza aliwanominate Mkurugenzi huyo wa Airtel Tanzania, Mkurugenzi wa
Tigo Tanzania, Diego Gutierrez na Naibu Waziri wa Mawasiliano na
Teknolojia, January Makamba.
Mkurugenzi wa Airtel amewanominate Exim Bank, City Bank na Standard Chartered Bank kujiunga na kampeni hiyo ambayo kiwango cha mchango kimetajwa kuanzia $100,000.
Kwa
mujibu Sunil Colaso, Airtel itatoa shilingi 50,000 kwa member wa timu
yake atakayekubali hiyo challenge ili pesa hizo ziende katika mfuko wa
kusaidia mapambano dhidi ya fistula
nchini.>>>>>>TimesfmLIKE HAPA