MBUNGE WA TABORA MJINI Mh. ISMAIL RAGE APATA AJALI YA GARI_DODOMA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mbunge-wa-tabora-mjini-mh-ismail-rage.html

Na Baraka Mpenja,
RAIS
mstaafu wa klabu bya Simba sc, ambaye ni mbunge wa Tabora Mjini, Ismail
Aden Rage imelazwa Hospitali ya mkoa wa Dodoma baada ya kupata ajali ya
gari akitokea Tabora kueleka mjini Dodoma leo.
Imeelezwa kuwa Rage alikuwa anakwenda Dodoma kuhudhuria vikao maalumu vya bunge la katiba.
Ajali hiyo imetokea eneo la Chigongwe mkoani Dodoma.
Ajali hiyo imetokea eneo la Chigongwe mkoani Dodoma.
kama huja like
ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia
punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu LIKE HAPA