MCHEPUKO SIO DILI BAKI NJIA KUU, WAKE ZA WATU WAZIDI KULETA MATATIZO
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mchepuko-sio-dili-baki-njia-kuu-wake-za.html
Kijana
Mmoja ambaye Jina lake ahalijafahamika Mara Moja akiwa amejeruhiwa
vibaya kisa kikielezwa kwamba ni kukutwa na mke wa Mtu.Matukio kama haya
yamezidi kushika kasi katika jamii yetu ambapo watu wamezidi
kujichukulia sheria mikononi Kwa kuwaadhibu watu na matokeo yake
kuwajeruhi watu kupita kiasi.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA