MFAHAMU MWANANDONDI ALIEJIBADILISHA KUWA MWANAMKE
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mfahamu-mwanandondi-aliejibadilisha.html

Frank
Maloney, akionekana hapa mwaka 2001, alimsaidia Lenox Lewis kushinda
kwenye ngumi za uzito wa juu duniani.Promota wa mchezo wa ngumi wa
zamani Frank Maloney ameweka wazi zoezi la ubadilishaji wa jinsia yake
ya kiume kwenda ya kike na kuwa mwanamke anae enda kwa jina la
Kellie.
Akiwa kwenye interview ya In the Mirrior, Kellie alisema kuwa
"Hakuzaliwa katika mwili na amekuwa akijua dhahiri kuwa yeye ni
mwanamke"Aliongeza kuwa kilichokosewa katika kuzaliwa kwake sasa
kinarekbishwa kisayansi, ana akila ya kike na pia alijua yeye ni
watofauti akijilinganisha na watoto wengine kwakuwa
amekuwa akiwaonea wanawake wivu.Kellie ambae ameolewa mara mbili na ana
watoto amesema kuwa kaamua kuishi mwenyewe, pia anauhakika angeweza
kufanya kazi ya usimamizi katika mchezo wa ngumi akiwa mwanamke, lakini
bado anaweza kwa kuwa mipango yake nikusaidia wengine wapitie njia aliyo
pita yeye.Meneja wa kellie kwenye kikundi cha Transgender, Heather
Ashto, aliiambia BBC kuwa kellie amekuwa ni mtu mwenye "akili na
shupavu."
Aliongeza kuwa anatumai kellie atakuwa mfano kwa wengine kufanya jambo alilofanya Kellie bila uoga.
Maloney alifahamika kwa ushirika wake na Lenox Lewis pamoja na Jack Outfits
Kellie,
akiwa Maloney kabla ya kujibadilisha, ndiye aliemwongoza Lenox Lewis
kwenye ushindi wa ndodi za Uzito mkubwa wa juu duniani(World Heavy
Weight Champion) kwenye mchezo wa ngumi mwaka 1993
Chanzo: BBC
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA