MKALI WA MOVIE ROBIN WILLIAM AMEKUTWA AMEFARIKI NDANI YA NYUMBA YAKE
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mkali-wa-movie-robin-william-amekutwa.html

Robin William ni star aliyeanza kupata mafanikio akifanya kazi kama stand up comedian na baadae kuanza kuonekana kwenye movie.
Akiwa na miaka 63 Robin
amefariki dunia kwa kifo ambacho hadi sasa hakijajulikana chanzo chake
lakini tetesi zinasema kuna uwezekanao kwamba Robin alijiuaMwili wake
umekutwa nyumbani kwake huko Tiburon California na watu wa karibu
wanasema alikuwa anasumbuliwa na msongo wa mawazo hivi karibuni.
Enzi za
uhai wake aliwai kushiriki kwenye movie kama The Fisher King,Good will
Hunting,Jumanji,Popeye na nyingine. Pia alishinda tuzo kama
Academy,Golden Globe,Emmy,Grammy na nyinginezo kwa wakati tofauti.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA