Former
Miss Mwanza Number Two Model na Mtangazaji wa tangazo la biashara la
Nywele za Rasta za Kampuni ya Darling, harusi yake ilikuwa njiani kwenye
matayrisho makubwa huku Mchumba wake akihaha huku na kule kutayarisha
harusi yao, majuzi akamuaga anakwenda kumuona Dada yake na atalala huko
huko, kesho yake yaani jana haya ndiyo yaliyotokea mbebez amefariki
kwenye ajali akiwa na bwana mwingine kabisa ambaye naye amefariki so
mchumba sasa haelewi na haamini kama ni kweli alichosikia na kukiona
kwenye picha hizi hapa chini!!