Miongoni
mwa wanamuziki Tanzania ambao tangu wanaanza kusikika walikua na style
ya kuwataja watu moja kwa moja ‘kuwachana live’ Nay wa Mitego ambaye
toka wimbo wake wa Itafahamika hadi huu Mr Nay amekua akiwataja.Baada
ya kutoka kwa wimbo huu upande wa audio miezi michache iliyopita
ameamua kuachia video yake ambayo kaifanya Kenya na Director wa video
hii anaitwa Kevin Bosco Jnr. Kuitizama youtube bonyeza HapaLIKE HAPA