MWILI WA MTU MMOJA AMBAYE NI ALBINO UMEKUTWA UMETUPWA MAENEO YA SEGEREA KINYEREZI HUKU UKIWA UMETOLEWA MACHO YOTE SAMAHANI UTAKAZOZIONA
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/mwili-wa-mtu-mmoja-ambaye-ni-albino.html
Inasadikiwa
mtu huyu amekuja kutupwa eneo hili kutoka eneo jingine ambalo
halijajulikana bado.Mwili huu umekutwa eneo hili la segerea kinyelezi
jiji Dar es salaam na watoto ambao walikuwa wakikata miwa huku ukiwa
umeharibika na umekatwa shingo na kung'olewa macho yote mawili na mpaka
sasa hajafamika tayari police wamechukua mwili huo kwa uchunguzi

