Hivi karibuni kumekua na tetesi za chini ya kapeti kuwa dada yake
msanii Diamond, Esma ana mahusiano ya kimapenzi na mfanyakazi wa
ENDLESS FAME, Petitman maarufu kama Mutoto ya Madame Wema au Petitman
Wakuache....sasa leo hii imebainika wazi kua wawili hao ni wapenzi...
Ilianza hapa.... MENEJA wa Wema Sepetu, Martin Kadinda aliweka picha hii
kwenye ukurasa wake wa instagram ana kuandika "ALERT!!! ALERT!!!"
Akiashilia kuna kitu hapa........
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA