JUMA NATURE APIGA SHOO YA NGUVU TAIFA..SHUHUDIA HAPA MWENYEWE
http://melckstudio.blogspot.com/2014/08/juma-nature-apiga-shoo-ya-nguvu.html
Mwanamuziki Juma Nature na kundi lake la Wanaume Halisi wakifanya yao ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 Uwanja wa Taifa.
Nature akiwadatisha mashabiki wake.
Nature na kundi lake la Wanaume Halisi wakifanya vitu vyao.
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu.LIKE HAPA