SKENDO - IRENE UWOYA "NACHUKIA NA SIPENDI KUVAA KUFULI a.k.a CHUPI"

Uwoya
Irene Uwoya amerudi na mpya !. Star wa filamu Tanzania Irene Uwoya amesema kuwa hakuna vazi asilolipenda kama chupi a.k.a kufuli.
Akizungumza na Vibe Magazine tz Uwoya anayetamba na filamu kibao amesema hapendi kuvaa kufuli na analichukia sana vazi hilo na huwezi kulikuta kabatini mwake.

Vibe Tz: Nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lako?
Uwoya: Chupi – sipendi kabisa hilo vazi.

Related

UDAKU 31887037955579439

Asia - Leo

MZIWANDA - MSONDO NGOMA

TONBOY

TONBOY

CONTACT

Melck Studio
Tel : +25578920034
+255757605268
E-mail : melckstudio@gmail.com

SHOW LOVE TO THIS

Hot in week

Recent

Comments

Visitors


web stats
item